Header Ads

Responsive Ads Here

TAMUFO YAANZA KUTILIANA SAINI MIKATABA YA KAZI NA WANAMUZIKI MBALIMBALIRais wa Umoja wa Wanamuzi Tanzania (TAMUFO), Dk. Donald Kisanga, akiwa na mwanamuziki nguri wa mziki wa kizazi kipya 'Bongo Fleva' Rich Mavoko, baada ya kusaini mkataba wa fursa ya kazi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Rais wa Umoja wa Wanamuzi Tanzania (TAMUFO), Dk. Donald Kisanga, akiwa na mwanamuziki nguri wa mziki wa kizazi kipya, Rubby baada ya kusaini mkataba huo.

No comments