Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:MIRADI 70 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 11. 1 KUZINDULIWA NA MWENGE MKOANI RUVUMA

Zaidi ya miradi 70 yenye thamani ya shilingi bilioni 11.1 itazinduliwa na mwenge wa uhuru uliowasili mkoani RUVUMA,ambapo mwenge huo utakimbizwa katika halimashuri nane na kuitimishwa katika wilaya ya TUNDURU tarehe 11 utakabiziwa mkoani mtwara. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkoa wa ruvuma CHRISTINA MNDEME

No comments