Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA

Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani mkoa wa RUVUMA kimejipanga kikamilifu katika kuhakikisha madereva wanaoendesha vyombo vya moto vyenye miguu miwili maarufu kama bodaboda wanafuata sheria,ikiwemo kuwa na leseni pamoja na kuvaa kofia ngumu pamoja na abiriwa wake. Hayo yamebainishwa na maratibu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa RUVUMA SALUMU MORIMORI wakati akitoa elimu kwa baadhi ya madereva bodaboda mjini SONGEA.

No comments