Header Ads

Responsive Ads Here

Tanzia : MSANII SAM WA UKWELI AFARIKI DUNIAUsiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli aliyevuma kwa wimbo wa'Hata kwetu wapo' amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam huku Producer wake Steve aliyekuwa akifanya kazi na Msanii huyo  amesema Sam alikuwa akiumwa na walipomuuliza alisema ni UKIMWI wa kulogwa.

No comments