Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:WAFANYABIASHARA WA NYAMA WILAYANI TUNDURU WAMEWATAKA WAFUGAJI KUPELEKA NG'OMBE ZAO MNADANI.

Wafanyabiashara wa wanyama wilayani TUNDURU mkoani Ruvuma wameitaka serakali kuwa chukulia hatua wafugaji ambao hawapeleki mifugo yao katika minada rasmi iliyopangwa, wito huo wameutoa katika mnada wa pili uliofanyika katika kijiji cha MUHUWESI ambapo wafugaji hawakuleta ng’ombe zao kwa madai wamekuwa wakinyanyaswa. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

No comments