Header Ads

Responsive Ads Here

RC MNDEME AIFUTIA LESENI KAMPUNI YA ZUMA CARGO KWA UPOTEVU WA TAN 15 ZA KOROSHO

mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME ameifutia leseni kampuni ya ZUMA CARGO kwa upotezu wa tani kumi na tano za korosho ambazo hazijulikani ziliko na kuiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Ruvuma TAKUKURU kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa jambo hilo.

No comments