Header Ads

Responsive Ads Here

Vita ya uvuvi haramu yapamba pamba moto Ziwa Victoria

George Binagi-GB Pazzo @BMG
Watu watatu Jijini Mwanza wamekamatwa na zana za uvuvi zinazodaiwa kuwa ni haramu wakiwa wamezifukiwa nyumbani pamoja na injini tano za boti, zote kwa pamoja nikiwa na thamani ya shilingi milioni 70.
Katika oparesheni hiyo, pia injini tano za boti zimekamatwa katika nyumba hiyo ambayo ni ya mfanyabiashara ambaye wiki mbili zilizopita, alikamatwa pia na zana haramu za uvuvi nyumbani kwake wilayani Sengerema.

No comments