Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:"TUJIEPUSHE KUMSINGIZIA MUNGU AJALI TUNASABABISHA WENYEWE"RC RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEMA amewataka wa miliki wa vyombo vya moto kuacha tabia ya kutoa lawama badala yake wasimamie sheria za barabarani kwani ajali nyingi zinatokea ni uzembe wa madereva wao. Amebainisha hayo wakati akizungumza na wamiliki wa vyombo hivyo huku mamlaka inayosimamia barabara TARURA NA TANROAD kuhakikisha barabara zinaboreshwa ili kupunguza ajali zinazoonyesha kusababishwa na miundombinu.

No comments