Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – “ TATIZO LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YETU YA TUNDURU NI TATIZO SUGU ” JACQUELINE NGONYANI MSONGOZI

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Ruvuma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jacqueline Ngonyani Msongozi, amewata wazazi kuwafichua watu wanaowapa mimba wanafunzi pamoja watoto waliochini ya umri wa miaka 18 ili wachukuliwe hatua.
“ Tatizo la mimba za utotoni kwa wilaya yetu ya Tunduru ni tatizo sugu, Ninawaombeni wanawake wenzangu kwa kuwa sasa tumefika mahari tunajitambua na kwa kuwa tumefika mahali nasisi tunataka tutambulike tusimamie watoto wetu ipasanyo ili watoto hawa wawe katika makuzi na malezi mazuri , Kale kamchezo waache ”
Kwa undani wa habari hii tizama video yake hapo chini.

No comments