Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – KIWANDA CHA KUSINDIKA TUMBAKU SONAMCU KUFUFULIWA MKOANI RUVUMA

Kiwanda cha kusindika Tumbaku cha Songea Namtumbo ( SONAMCU) kilichopo Songea Mjini mkoani Ruvuma kinatarajia kuanza kufanyakazi ya ya kusindika tumbaku katika msimu wa 2018- 2019 mara tu baada kukamilika kwa matengenezo.

No comments