Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – HII HAPA SEHEMU YA KWANZA YA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI.

Jina la vita vya Maji Maji lilitokana na imani ya matumizi ya “Dawa” iliyochanganywa na maji ,punje za mahindi na mtama zilizosadikika kuwa zitampa mpiganaji kinga ya kutodhurika kwa shambulio la risasi za Wajerumani .Kwa undani wa Historia hii ya Vita vya Maji Maji tizama sehemu ya Kwanza ya Historia ya Vita hivyo.

No comments