Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – BUSTANI YA KISASA MANISPAA YA SONGEA KUNZA KUTUMIKA MWEZI MEI MWAKA HUU

MRADI wa bustani ya kisasa ya Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma umekamilika ,unatarajia kuanza kufanyakazi mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu.
Akizungumza na Ruvuma TV Afisa habari wa Manispaa Albano Midelo, amesema Mkandarasi tayari amekabidhi mradi huo kwa Manispaa. Bustani hiyo itakuwa na sehemuya Mgahawa,Maegesho ya Magari,kituo cha Utalii,sehemunya michezo ya watoto na huduma za choo, Kwa undani wa habari hii tizama video yake.

No comments