Header Ads

Responsive Ads Here

RUVUMA,TAKUKURU YAOKOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 21 KWA WAFANYA KAZI HEWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa RUVUMA imeokoa zaidi ya shilingi milioni 21 ikiwa ni marejesho yaliyolipwa kwa watumishi hewa kwenye Idara ya afya.
Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa RUVUMA, OWEN JASSON amesema fedha hizo imeokolewa katika kipindi cha Januari mpaka Machi mwaka huu.
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments