Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 3,319

Rais Magufuli katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319 ambapo wafungwa 585 wataachiwa huru leo Alhamis Aprili 26,2018  na 2,734 wamepunguziwa adhabu zao.

No comments