Header Ads

Responsive Ads Here

MWILI WA AGNES MASOGANGE UKIAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB DAR


Leo Aprili 22, 2018 mwili wa Agnes Gerald Masogange unaagwa katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kisha kusafirishwa kwenda kwao Mbeya kwa ajili ya mazishi.

Masogange alifariki dunia Ijumaa Aprili 20, 2018 saa 10 jioni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ‘pneumonia.‘


No comments