Header Ads

Responsive Ads Here

ITA NA ATAF WAENDESHA WARSHA YA MTANDAO WA WATAFITI WA KODI AFRIKA
Mgeni Rasmi, Kaimu Kamishna wa walipa kodi wakubwa Alfred Mregi (katikati) pamoja na Mwakilishi wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF), Bras Eugenio (kulia), Mkufunzi wa watafiti wa Kodi Afrika Profesa Mede Nikaise, (kushoto), Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Profesa Isaya Jairo (wa pili kushoto) na Naibu Mkuu wa ITA, Dkt. Lewis Ishemoi wakiwa meza kuu wakati ufunguzi wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika jijini Dar es Salaam leo Aprili 9 2018. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. 

Mmoja wa washiriki akitoa mchango wake katika warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. 

Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. Kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF), Bras Eugenio

Mkufunzi kutoka chuo cha kodi (ITA) Dkt. Amos Ibrahimu akitoa mada kwa washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. 

Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. 

Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakibadilishana mawazo wakati wa kifungua kinywa  jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. 

Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. 

Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. 

Mgeni Rasmi, Kaimu Kamishna wa walipa kodi wakubwa Alfred Mregi (katikati) pamoja na Mwakilishi wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF), Bras Eugenio (kulia), Mkufunzi wa watafiti wa Kodi Afrika Profesa Mede Nikaise, (kushoto), Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Profesa Isaya Jairo (wa pili kushoto) na Naibu Mkuu wa ITA, Dkt. Lewis Ishemoi wakiwa meza kuu wakati ufunguzi wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika jijini Dar es Salaam leo Aprili 9 2018. 

No comments