Header Ads

Responsive Ads Here

Breaking : WATU NANE WAFARIKI AJALI YA BASI KUGONGANA NA NOAH MBEYAHabari tulizozipata hivi punde zinasema watu nane wamefariki dunia mmoja kujeruhiwa baada ya Noah kugongana na basi katika eneo la Igodima nje kidogo ya Jiji la Mbeya.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, Mussa Taibu amethibitisha.

No comments