Header Ads

Responsive Ads Here

Taasisi ya MISA Tanzania yazindua rasmi tovuti yake Jijini Arusha


Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas (wa kwanza kulia) na Mwenyekiti wa MISA Tanzania Salome Kitomari (wa kwanza kushoto) wakizindua rasmi tovuti ya Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA Tanzania) inayopatikana hapa www.tanzania.misa.org 
Imeandaliwa na Blog za Mikoa
 Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas (wa kwanza kulia) na  Mwenyekiti wa MISA Tanzania Salome Kitomari (wa kwanza kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wakipata maelezo kuhusiana na tovuti ya MISA Tanzania kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Gasirigwa  Sengiyumva.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Gasirigwa Sengiyumva (kulia) kulia akiendelea kutoa maelezo mbali mbali na vitu ambavyo vinapatikana katika tovuti ya MISA Tanzania 
 Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa tovuti ya MISA Tanzania Jijini Arusha.

No comments