Header Ads

Responsive Ads Here

Mtandao wa NINAYO wawafikia Wanunuzi na Wauzaji wa Mazao Kanda ya Ziwa

BMG Habari-Pamoja Daima!
NINAYO (www.ninayo.com) ni mtandao unaotoa fursa kwa wanunuzi na wauzaji wa mazao mbalimbali kutangaza mazao yao bure na kuwafikia maelefu ya wateja kwa haraka na urahisi zaidi ndani na nje ya Tanzania.
Tayari wanunuzi na wauzaji wa mazao mbalimbali Kanda ya Ziwa wamefikiwa na mtandao huu ambapo hii leo Mratibu wa Mtandao huo Kanda ya Ziwa, Patrick Tungu ametembelea kampuni ya Kipipa Millers Limited iliyopo Pasiansi Jijini Mwanza na kupokelewa vyema.

No comments