Header Ads

Responsive Ads Here

MKUU WA WILAYA YA MTWARA AKAGUA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MANGOPACHANNE

boi1
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mtwara Mh. Evod Mmanda metembelea na kukagua ujenzi wa shule ya sekondari ya kata ya Mangopachanne Mtwara vijijini na kujionea ujenzi wa shule hiyo unavyendelea.
Mh. Mmanda amemuaguza mkandarasi wa ujenzi wa shule hiyo kufanya kazi kwa bidii na kukamilisha mradi huo ndani ya muda uliopangwa ili shule hiyo ianze kutumika na kuwasaidia wanfunzi kutotembea umbali mrefu kwenda kupata elimu.
boi2
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mtwara Mh. Evod Mmanda akitoa maagizo wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa shule hiyo.
boi3
Diwani na wataalamu wa halmashauri nilioandamana na na Mkuu wa wilaya huyo hayupo pichani mara baada ya kukagua ujenzi huo.

No comments