Header Ads

Responsive Ads Here

Mkutano Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza wafanyika Jijini Mwanza

BMG Habari-Pamoja Daima!
Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza leo Machi 19,2018 kimefanya Mkutano wake Mkuu uliofanyika katika ukumbi wa chama hicho Jijini Mwanza, huku kukiwa na agenda kadhaa ikiwemo uchaguzi wa viongozi na wajumbe wa bodi ya chama hicho.
Mkutano huu umefanyika katika ukumbi wa Bomani (Nyanza) Jijini Mwanza.

No comments