Header Ads

Responsive Ads Here

Kwa nini maambukizi wa VVU yanaongezeka mkoani Mwanza?- JIBU

BMG Habari-Pamoja Daima!
Mwaka 2011/12 maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na Ukimwi mkoani Mwanza yalikuwa asilimia 4.2 lakini hadi kufikia 2016/17 maambukizi hayo yaliongezeka na kufikia asilimia 7.2
Hatua hiyo imewasukuma wadau wa kupambana na maambukizi ya VVU na Ukimwi mkoani Mwanza kukutana ili kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kupambana na maambukizi hayo.
Bonyeza HAPA kutazama video zaidi.

No comments