Header Ads

Responsive Ads Here

AUDIO & VIDEOBAVICHA washitushwa na Maandamano

BMG Habari-Pamoja Daima!
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAVICHA Tanzania Bara, limeshangazwa na kauli mbalimbali zinazotolewa na viongozi wa serikali nchini wakionya kuhusu maandamano.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Taifa, Mwl. John Pambalu ameeleza kushangazwa na kauli hizo na kubainisha kwamba naye anajiuliza na nina aliyeratibu na kutangaza maandamano hayo.

No comments