Header Ads

Responsive Ads Here

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA NECTumeyaTaifaya uchaguziimesikiamalalamikoyaliyotolewanaMwenyekitiwa Chama cha DemokrasianaMaendeleo (CHADEMA) ambayoaliyawasilishajanakupitiavyombovyahabarinamitandaoyakijamii.

MalalamikoyaliyotolewanaMhe, Mboweyametusikitishakwasababumbalinakumjibukwabarua,MkurugenziwaUchaguziKailimaRamadhanialiongeanaMhe. Mbowekwanjiayasimu. Madaikwambatumehaikuwaibumalalamikoyaosiokweli, niupotoshajiwahaliyajuuambaohaupaswikufanywanakiongozikamayeye.

Tumeyataifayauchaguzihaijibumalalamikokwamatakwayamtuanavyotakakujibiwa, baliinajibuhojakwamujibumatakwayakatiba, sheria, kanuninamaadiliyauchaguzinamaelekezoyoteambayoyapokwamujibuwasheria. Kama majibuyatumehayakuwafurahisha CHADEMA, tumeinasisitizakuwawalijibiwakwamatakwayasherianakatibanasiomatakwayamkurugenziwauchaguzi, Tume, Chademaau chamachochote cha siasa.

Kanuni,sheria,maelekezonamaadiliyauchaguziyamewekautararatibuwakushughulikiamalalamikonachangamotozinazojitokezawakatiwauchaguzi.  Utaratibuukowazikwachangamotozinazotokeawakatiwauteuzi, wakatiwakampeniambakokunakamatizamaadilinajinsiyakukatarufaa.

Kwa masikitikoCHADEMA walitekelezahatuamojatukatikavipengelehivyowakatiwauchaguzi,kipengelewalichotekelezani palebaadhiyawagombeawaowalipoenguliwakugombea, walifuatautaratibukwakuwasilisharufaatumeyauchaguzinaTumeilipitianaikawarudishawagombeawaokwendakugombea.

CHADEMA walitakawakatiwakampeni, Tumeifanyemaamuzikinyume cha maadiliwaliyoyasaini. Wakatiwakampenikunakamatizamaadilingaziyajimboambayomwenyekitinimsimamiziwauchaguzinawajumbenikutokavyamavyotevilivyosimamaishawagombeanandiowanaofanyauamuzi.ChademawaliwasilishamalalamikokwaTumebadalayakuwasilsihamalalamikokwenyekamatihizozamaadilizinazosimamiamalalamikoyote.

SiosahihikusemaTumehatukujibumalalamikoyao. Mfanotarehe 15 ChademawaliwasilsihabaruambiliTumeyaUchaguzi, waliwasilishabaruamojaasubuhinasaa 1.30 jioniwaliwasilishabaruanyingine,jumlabaruahizozikiwanahojatanonaTumeikawaandikiabaruazenyeufafanuziwahojahizo.

Hojaya kwanza, CHADEMAwalitakakuapishwamawakalawaombadalaasilimia 15. Tuliwajibukwambahakunakifungu cha sheriakinachokipafursachamachochote cha siasakuapishiwamawakalambadalaasilimia 15. Kifungu57 (3) kinafafanuavizurinamnayamawakalawanavyotakiwakuweponakuapishwa

Lakini pia hatakamakifunguhichokingekuwakinatoafursahiyo, Chademawaliletamalalamikoyaotarehe 15 Februari2018 wakatiuteuziwamawakalaulikuwatarehe 10 Februari 2018, hivyohakukuwanamudawakuwaapishamawakalawenginekwamujibuwasheriakwakuwahawakuwemokwenyeorodha.

Hojanyingineya CHADEMA nimsimamiziwauchaguziwaJimbo la Kinondonialikataakuwapamawakalabaruanafomuzaviapo. Tulifanyahesabutukaonakwambamsimamizialitakiwakusainibarua 22,000 nafomuzaviapo 14,000. Tukasemakwambakutakuwanautaratibuwamawakalakupewafomunaviapovyaokupitiakwawawakilishiwaonawalipewakwanjiahiyo.Hilituliwajibuhivyokatikabaruayetu.

Hojanyinginemawakalawa CHADEMA waliambiwakwendanavitambulishokwenyevituovyakupigiakura. Katikahojahiituliwajibukwambawakalachama cha siasanimpigakurakamawalivyowapigakurawengine.TumeyaTaifayaUchaguzikwakuzingatiasheriayauchaguzikifungunamba 61 nanamba  62 cha sheriazaSerikalizamitaa, Tumeilitoaridhaakwawapigakurakutumiavitambulishombadalailinaowawezekupigakurandiomaanawakaelekezwakwendanavyo.

Hojanyinginenikwambamsimamiziwauchaguzijimbo la Kinondoni, hajatoamaelekzoniwapi pa kuhesabiakura. TukawajibukwambaTumeinabaruakutokakwamsimamiziwauchaguziakiwajulishavyamavyasiasakwambasehemuyakujumlishiakuraitakuwanisehemuya Biafra.Kanuniinasemawangejulishwaeneohilo la kujumlishiabaadayakurakupokelewa, lakinimsimamiziwauchaguzialijiongezaakawajulishamapemaeneo la kujumlishiakura.

Hojanyingineniwasimamiziwavituohawakuteuliwakwautaratibu. Majibuyahojahiinikwambasheriayauchaguziimewekautaratiibuwanamnawasimamizihaowanavyopatikana. LakinikanunizauchaguziwaRaisnamba 15nakanuni11 zaSerikalizaMitaazinaelezanamnamsimamiziwakituoanavyopatikana.

Kanunihiyoinasisitizakuwamsimamiziwauchaguziatatoatangazo, Kwa jimbo la Kinondonimsimizialitoatangazo, watuwaliomba, walifanyausahilinakablayauteuzimkurugenziwauchaguzialitoamatangazoyamajinakatikambaozoteza kata 10 zajimbo la Kinondoni.

Msimamiziwauchaguzialiwaandikiabaruavyamavyotekamavinapingamizivijitokeze. Kama kulikuwanatatizovyamavilikuwanafursayakuwekapingamizi, lakinihawakufanyahivyonaTumetuliwajibuhivyo. Unaposematumehaikuwajibusiokweli, labda CHADEMAwasemetuliwajibunjeyamatakwayaowaliyotakanasiokwamujibuwasheria.

Hojanyinginenikwambakunawiziwakura. Katikakituo cha kupigiakurakunamsimamiziwakituo, msimamizimsaidizinawakalawachama cha siasanakunawaandishiwahabari. Utaratibuulikuwawazi. Pia kunautaratibuwakisheriawakuwasilishamalalamikokamamtuharidhikikablawakatinabaadayakupigakura, wakatiwakuhesabunabaadayakuhesabukura.

Mtu au chamakisipofuatauratibuhuo,lazimautalalamikatunautaonatumenikorofi. HiinikwasababumtuakijaTumekulalamika, ataelekezwakufuatautaratibuhuo.MgombeaakikataakufuatautaratibuhuohataakijaTumekulalamika,ataelekezwanaTumeatumiewakala wake kujazafomuzotenamba 14 na 16zinazohusikakisheriakuwasilishamalalamiko.

TunamsihiMbowenachamachake, wasomesheriazauchaguzinakuzielewa. Tumeikotayarikumpaelimuyampigakurakuzifahamusheriahizikwamapanayake.

Pia tunamwombaMhe. Mbowekamahakuridhikanataratibuzauchaguzi, anafursandaniyasiku 30 zakuwasilishamalalamikoyakemahakamanindichochombopekee cha kutoahaki. Aendemahakamanikwakutumiaushahidiambaomawakala wake walijazakwenyefomunamba 14 na 16 kwasababuTumeyaUchaguzihainatenafursayakupokeamalalamikokisheriabaadayauchaguzikupita.

Kailima, R.K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI

No comments