Header Ads

Responsive Ads Here

BREAKING NEWS:MBUNGE WA CHADEMA ,JOSHUA NASSARI AFIKISHWA MAHAKAMANI


Taarifa kutoka Arusha zilizotufikia hivi karibuni ni kuhusu  Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru.
Nassari anakabiliwa na tuhuma za shambulio analodaiwa kulifanya kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Makiba mwaka 2014. Mtendaji huyo bado hajatajwa jina lake

No comments