Header Ads

Responsive Ads Here

ANGELINA MABULA ATEMBELEA OFISI ZA CCM LONGIDO NA MONDULI ARUSHA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula  akifurahia jambo alipokutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole katika makao makuu ya ofisi ya CCM wilaya ya Monduli, Arusha kulia kwa mhe. Mabula ni Mbunge wa Siha Dk. Godwin Mollel.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula  akizungumza katika ofisi ya CCM wilaya ya Longido alipotembelea ofisi hiyo wakati akiwa katika ziara ya kikazi mkoa wa Arusha katikati ni Katibu wa CCM wilaya ya Longido Juma Simba Gadafi.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akifurahia jambo alipokutana na mbunge wa Siha Dk. Godwin Mollel walipokutana  katika makao makuu ya ofisi ya CCM wilaya ya Monduli, Arusha.

No comments