Header Ads

Responsive Ads Here

MBOWE NAYE AMCHANA LOWASSA BAADA YA KWENDA IKULU KUMSIFIA RAIS MAGUFULI
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa jinsi utawala wa awamu ya tano unavyoongoza nchi, inahitaji ujasiri wa ziada kusimama na kuusifia.

Mbowe amesema hay oleo Jumanne muda mchache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenda Ikulu.

Amesema mwaliko wa Lowassa ni wake binafsi na wala hauhusiani na Chadema na hata kile alichokizungumza cha kumsifia Rais Magufuli ni mawazo yake binafsi.
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema naye amemkosoa Lowassa kwa kitendo cha kumsifia Magufuli

SIKILIZA HAPA MBOWE AKIZUNGUMZA

No comments