Header Ads

Responsive Ads Here

Maswali Kibao Diwani Aliyehamia CCM


Aliyekuwa diwani wa Kata ya Turwa katika Halmashauri ya Tarime Mjini, Zakayo Wangwe (Chadema) ametakiwa kujitafakari upya maada ya jana Januari 05,2018 kutangaza kuhamia CCM mbele ya wanahabari.
Makamu Mwenyekiti wa halmashauri hiyo ambaye pia ni diwani wa Nyamisangura, Bashir Abdalla aliyasema hayo muda mfupi baada ya Wangwe kutimkia CCM.
BMG Habari, Pamoja Daima
!

No comments