Header Ads

Responsive Ads Here

Chadema Wamjibu Mtoto wa Chacha Wangwe Aliyetimkia CCM


Ijumaa Januari 05,2018 diwani wa Kata ya Turwa katika Halmashauri ya Tarime Mjini (Chadema), anahamia CCM baada ya kusema chama chake kimepoteza dira.
Maamuzi hayo ya diwani huyo ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Tarime Chacha Zakayo Wangwe yanaushtua uongozi wa Chadema wilaya ya Tarime na kuamua kutoa kauli.
BMG Habari, Pamoja Daima!

No comments