Header Ads

Responsive Ads Here

Wananchi Jijini Mwanza wapatiwa Tiba ya Viungo na Ushauri Bure

Ni katika viunga vya Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza ambapo Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kimetoa fursa kwa wanchi kupata huduma ya tiba ya viungo na ushauri bure. Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonard Subi akifungua kongamano hilo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella.[/caption] [caption id="attachment_30028" align="alignleft" width="620"] Rais wa Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, bI.Neophita Lukiringi akizungumza kweny uzinduzi huo.[/caption] Attachments area Preview YouTube video Wananchi Jijini Mwanza wapatiwa Tiba ya Viungo na Ushauri Bure Wananchi Jijini Mwanza wapatiwa Tiba ya Viungo na Ushauri Bure

No comments