Header Ads

Responsive Ads Here

Wakazi wa Jiji la Mwanza Wakumbwa na Hofu ya Bomo Bomoa


Wakazi wa Jijini Mwanza wameingiwa na hofu ya kubomolewa makazi yao baada ya kudaiwa kujenga kwenye eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye upana wa mita 100.
BMG Habari, Pamoja Daima!

No comments