Header Ads

Responsive Ads Here

Wafanyakazi wa Benki ya NMB wasaidia watoto wenye ulemavu


Kiongozi wa kundi la wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Rasilimali watu, Paschal Itangaja (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa bidhaa mbalimbali walizozitoa kwa kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada waliokabidhi kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na biadhaa za mashuka, vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili. Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada waliokabidhi kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na biadhaa za mashuka, vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili.[/caption]   [caption id="attachment_83162" align="aligncenter" width="500"]
Kiongozi wa kundi la wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Rasilimali watu, Paschal Itangaja (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa bidhaa mbalimbali walizozitoa kwa kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada waliokabidhi kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na biadhaa za mashuka, vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili. Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada waliokabidhi kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na biadhaa za mashuka, vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili.[/caption]   [caption id="attachment_83166" align="aligncenter" width="500"]
Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam.[/caption]   [caption id="attachment_83167" align="aligncenter" width="500"]
Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam.[/caption]   [caption id="attachment_83168" align="aligncenter" width="500"]
Mwalimu Asha Mfaume wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam akiwashukuru Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB mara baada ya msaada walioutoa.[/caption]   [caption id="attachment_83161" align="aligncenter" width="500"]
Kiongozi wa kundi la wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Rasilimali watu, Paschal Itangaja (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo.[/caption]

No comments