Header Ads

Responsive Ads Here

Mtandao wa Elimu Tanzania Wakutana na Wanahabari Jijini Mwanza

Mtandao wa Elimu Tanzania TenMet umekutana na wanahabari pamoja na waendeshaji wa mitandao ya kijamii Jijini Mwanza ili kufahamiana na kuanzisha ushirikiano wa pamoja kwa ajili ya kutatua changamoto za elimu nchini kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
BMG Habari, Pamoja Daima!

No comments