Header Ads

Responsive Ads Here

MBUNGE WA CHADEMA JOSHUA NASSARI AVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA...RISASI ZARINDIMAWatu wenye silaha wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe.Joshua Nassari maeneo ya USA River, usiku wa kuamkia leo na kufyatua risasi kadhaa ambazo zimeua mbwa waliokuwepo nyumbani hapo. 

Nassari na mkewe walifanikiwa kutoroka, kisha kuripoti tukio hilo Polisi. Kamanda wa Polisi Arumeru, amesema wanafanya uchunguzi kubaini watu hao.

Haya ndiyo maneno ya Joshua Nassari kupitia ukurasa wake wa Twitter

No comments