Header Ads

Responsive Ads Here

Maelfu Wahitimu Masomo yao Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza


Ni Mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino kilichopo Malimbe Jijini Mwanza ambapo maelfu ya wahitimu wametunukiwa Astashahada, Stashahada na Shahada mbalimbali kwa mwaka huu wa 2017.
Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Jude Thadeus Ruwaich akizungumza kwenye Mahafali hayo.
Mgeni Rasmi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Jude Thadeus Ruwaich akizungumza kwenye Mahafali hayo. Waliokaa ni viongozi mbalimbali akiwemo Makamu Mkuu wa Chuo cha SAUT Dr.Thadeus Mkamwa (kushoto), Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha SAUT Askofu Flavian Kasala (katikati) pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo cha SAU Taaluma (kulia).
Makamu Mkuu wa Chuo cha SAUT, Dr.Thadeus Mkamwa akizungumza kwenye Mahafali hayo.
Wanataaluma mbalimbali wa Chuo cha SAUT wakiwa kwenye Mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wa ngazi ya Shahada ya Uzamili.
Wahitimu mbalimbali Chuo cha SAUT Mwanza.
Mahafali ya 19 Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza yalifanyika Ijumaa na Jumamosi (Didemba 08-09 2017) chuoni hapo.
Wanataaluma wakiingia katika viunga vya Raila Odinga yaliyofanyika Mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza.
Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima kusoma zaidi.

No comments