Header Ads

Responsive Ads Here

Kumbukizi ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wakati akiwasili kuongoza sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wakati akiwasili kuongoza sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema Shein kwenye sherehe hizo.
Marais Wastaafu Mhe Benjamin Mkapa na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakiteta jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Picha na Ikulu.

No comments