Header Ads

Responsive Ads Here

HAYA HAPA MATOKEO UCHAGUZI CCM MKOA WA SHINYANGA,MLOLWA NDIYO MWENYEKITIMatokeo ya uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga uliofanyika leo Jumanne Disemba 5,2017 katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa ShinyangaMabala Mlolwa -702
John Festo Makune - 35
Colonel Ngudungi - 02

Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM taifa 

 Gaspar Kileo - 702
Bernad Shigela - 33
Joyce Masunga-02
Msimamizi wa uchaguzi Naibu Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Abdallah Juma Magodi
Mabala Mlolwa

Gaspar Kileo

Wajumbe wakipiga kura

Upigaji kura ukiendelea
Mbwembwe wakati wa uchaguzi

Picha zote na Anthony Solo - Malunde1 blog

No comments