Header Ads

Responsive Ads Here

Wateja wa Tigo Dodoma wafurika kujinunulia tiketi kwa Tigo Pesa kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta

Mtoa huduma ya mauzo wa duka la Tigo Dodoma mtaa wa CDA, Alli Mshana akimhudumia mteja aliyefika kupata huduma dukani mapema mwishoni wa wiki hii.

Mteja wa Tigo, Mwajuma Hassan akikabidhiwa simu na msanii Jux huku wasanii Roma na Ben Pol wakishuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika duka la Tigo Dodoma mara baada ya wasanii kutembelea duka hilo. Ndani ya msimu huu wa Tigo Fiesta kampuni ya Tigo imeweka punguzo la bidhaa mbalimbali kwenye maduka yake yote nchini.

Wateja waliofurika  Duka la Tigo mtaa wa CDA Dodoma wakipata huduma za Tigo Pesa kwa kununua tiketi za Tamasha la Tigo Fiesta Dodoma.

 Wasanii Mimi Mars na Country Boy wakimkabidhi mteja wa Tigo, Kiyoya Shem tiketi ya kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta Dodoma mapema mwishoni wa wiki iliyopita.


Wasanii Genevieve na Nedy Music wakiwa na mteja wa Tigo, Bruno Mpangala mara baada ya kujishindia tiketi ya kwenda kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta  litakalofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma 


Wateja waliofurika kupata huduma za Tigo Pesa kwa kununua tiketi za kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta Dodoma

No comments