Header Ads

Responsive Ads Here

PROMOSHENI YA NUNUA NA USHINDE YAFIKIA TAMATI KWA KUTOA ZAWADI KWA WASHINIDI WA TIGO-MASASI MTWARA    
Meneja  Mauzo Mkoa wa Mtwara-Lilian Mwalongo  akitoa maelezo kwa mteja wa Simu aina ya Tecno R6 kwa Faraji Said Lembe Mkazi wa Masasi katika Duka la Huduma kwa Wateja lililopo Masasi Mkoani Mtwara Simu ya Tecno R6 inauzwa shilingi laki moja na tisini na Tano kama Promotion.


Meneja  Mauzo Mkoa wa Mtwara-Lilian Mwalongo  akikabidhi simu aina ya Tecno S1 kwa mteja Faraji said Lembe mara baada ya kupata maelezo katika Duka la Huduma kwa wateja lililopo Masasi Mkoani Mtwara.

Meneja  Mauzo Mkoa wa Mtwara-Lilian Mwalongo  Akikabidhi Kofia Ngumu na Funguo ya pikipiki kwa mshindi wa shindano la Nunua Ushinde Saudi Chimatilo Mkazi wa Chiungutwa,Masasi Mkaoni Mtwara Shindano hilo ni kwa wanunuzi wa Sim aina ya Tecno R6 na Tecno S1 ambapo washindi walikabidhiwa Seti za Television pamja na Pikipiki.
Mshindi wa Shindano la NUNuA USHINDE Saudi Chimatilo akiwa katika Pikipiki yake mara baada ya kushinda promosheni hiyo inayojumuisha Simu aina ya Tecno R6 na Tecno S1  8

No comments