Header Ads

Responsive Ads Here

PLAN WATOA BAISKELI 191 KWA AJIRI YA KUWASAIDIA WATOTO MKOANI GEITA

Baiskeli ambazo zimetolewa kwa wawakilishi wa kujitolea kwenye  jamii  na shirika lisilo la kiserikali la plan international mkoani Geita.

Kushoto ni meneja wa Plan Mkoani Geita, Bw Marcel Madubi na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi  wakizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa baiskeli.

Meneja wa Plan Mkoani Geita, Bw Marcel Madubi akizungumzia malengo ambayo yamepelekea wao kutoa Baiskeli hizo kwa wawakilishi wa jamii.

Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akizungumza na wanufaika wa Baiskeli hizo.

Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akiendasha Baiskeli  ambazo zimekabidhiwa kwa wawakilishi wa jamii.

Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akimkabidhi Baiskeli Bi,Lucy John(Katikakati)pembeni kutoka kulia ni Mejena wa Plan ,Bw Marcel Madubi.

Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akimkabidhi Baiskeli,Mzee Geofray Kilomba na pembeni ambaye anapiga makofi ni,meneja wa plan Bw,Marcel Madubi.(PICHA NA JOEL MADUKA)


NA ,CONSOLATA EVARIST GEITA


<!--[if gte mso 9]>

No comments