Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA MKE WA RAIS WA TANZANIA MAMA JANETH NA MAMA SHEIN


DSC_0071
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth  Magufuli  wakiwa na Mtoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar wakati wa ziara ya Mama Janeth Magufuli kutembelea Watoto na kukabidhi  msaada wa Vyakula mbalimbali.

DSC_0164
Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein wakikabidhi msaada wa vyakula kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizibni wakati wa ziara yake katika makaazi yao mazizini Unguja.
DSC_0182
MKE wa Rais wa Tanzania Manma Mwanamwema Shein, na Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli wakiwa katrika picha ya pamoja na watoto wa Nyumba ya Watoto Yatma Mazizini Zanzibar.
DSC_0213
WATOTO wa Kijiji cha SOS Mombasa  Zanzibar wakimpokea Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufu alipowasili katrika viwanja vya kijiji hicho akiwa katika ziara yake na kukabidhi msaada wa vyakula.
DSC_0243
MKURUGENZI wa Bodi ya Kijiji cha SOS Zanzibar Mohammed Bhaloo akizungumza wakati wa ziara ya Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli wakati wa ziara yake kutembelea kijiji hicho cha SOS  Zanzibar.
DSC_0266
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akipokea risala kutoka kwa Mkurugenzi wa SOS Mohammed Bhaloo na kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
DSC_0385
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya mlango wa Zanzibar kutoka kwa Mtoto wa Kijhiji cha SOS Mohammed Abdalla.alipofika katika kijiji hicho akiwa katika ziara yake Zanzibar.
DSC_0406
WATOTO wa Kijiji cha SOS wakishangila wakati wa ziara ya Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa katika ziara yake Zanzibar.
DSC_0414
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli  akihutubia wakati wa ziara yake katika kijiji cha SOS Zanzibar , kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar  Maudline Cyrus Castico.
DSC_0463
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufu na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakikabidhi msaada wa vyakula kwa Watoto wa Kijiji cha SOS Zanzibar wakati wa ziara yake Zanzibar.
DSC_0502
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Wafanyakazi wa Kijiji cha Wazee Welezo Zanzibar wakati wa ziara ya Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli Zanzibar.
DSC_0526
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Kijiji cha Welezo Sister Gemma, alipowasili katika viwanja vya kijiji hicho akiwa katika ziara yake Zanzibar na kukabuidhi msaada wa vyakula.
DSC_0549
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akimjulia hali Mzee wa Kijiji cha Wazee Welezi Bi. Riziki Juma, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, walipofika katika makaazi yao wakati wa ziara yake na kukabidhi msaada wa vyakula.
DSC_0632
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwa na mwenyeji wake Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika viwanja vya Kijiji cha Wazee Welezo Zanzibar.
DSC_0698
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akimsalimia Mzee wa Kijiji cha Wazeec Welezo Zanzibar Rashid Salum Kasuka, alipofika katika makazi yao wakati wa ziara yake Zanzibar.

No comments