Header Ads

Responsive Ads Here

Z ANTO-KACHEZE UNAPOCHEZA (OFFICIAL VIDEO)


Msanii mkongwe wa muzik nchinii, Z Anto ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kacheze Unapochezaga’ chini ya label yake mpya ya ‘Lavi Davi Entertainment’. Video hiyo imeandaliwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studio. Muimbaji huyo kipindi cha nyuma amewahi kufanya vizuri na wimbo kama ‘Mpenzi Jini’ na nyingine nyingi.

No comments