Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CANADA KWA SHUGHULI ZA KIKAZI


PM
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatatu, Oktoba 16, 2017) kuelekea nchini Canada kwa shughuli za kikazi.

Akiwa nchini Canada Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali za kipaumbele.
Aidha, nchi ya Canada ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU, 
JUMATATU, OKTOBA 16, 2017.

No comments