Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUCHIKA AWAELEKEZA WATUMISHI WA UMMA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KASI


DSC_0001
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (wa kwanza kulia), akimpokea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) mapema leo kabla ya kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, jijini Dar es salam.Wengine katika picha ni watendaji wa Sekretarieti ya Ajira.
DSC_0005
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Sekretareti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kabla ya kuongea na watumishi na watendaji wa Sekretarieti hiyo jijini Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa majukumu na utatuzi wa changamoto zilizopo.
DSC_0010
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi (hawapo pichani).
DSC_0017
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi akifanunua hoja alizoulizwa kuhusu utendaji wa taasisi anayoiongoza mapema leo.
DSC_0032
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es salaam.
DSC_0033
Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Dkt. Henry Mambo akitoa maelezo kuhusu mafanikio na changamoto za TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb).
DSC_0039
Watendaji wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) leo jijini Dar es salaam.
DSC_0042
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu kwa vyombo vya habari kuhusu umuhimu wa vikao kazi na taasisi anazoziongoza, mapema leo jijini Dar es salaam.
DSC_0044
Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Henry Mambo (kushoto) akikabidhi ripoti ya mafanikio na changamoto kuhusu TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) leo jijini Dar es salaam
DSC_0049
Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika leo jijini Dar es salaam
DSC_0054
Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika leo jijini Dar es salaam

No comments