Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI JAFO ATETA NA WATUMISHI WA TAMISEMI


1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Katikati) akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ndogo ya TAMISEMI – Dar es salaam baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam. Kuliani Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda na kushoto kwake ni Naibu Waziri Mhe. Josephat Kandege

2Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (aliyesimama katikati) akizungumza na wafanyakazi wa TAMISEMI ofisi ndogo ya daressalaama mara baada ya kuapishwa leo ikulu jijini dares salaam.
3Katika Picha ya pamoja ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo (pili kushoto aliyekaa, Mhe. George Joseph kakunda(kwanza kushoto aliyekaa) Naibu Waziri Mhe. Josephat kandege(Pili Kulia aliyekaa), Naibu katibu Mkuu –Elimu Tixon Nzunda pamoja na watumishiwa TAMISEMI ofisi ndogo ya dares salaam.
……………
WaziriwaNchi, OfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. SelemaniJafoamewatakawatendajiwaOfisiyaRais TAMISEMI kubadiliutendajiwaowakaziilikupatamatokeo bora katikakutoahudumakwawananchi.
AkizungumzanawatumishiwaOfisindogoya TAMISEMI marabaadayakuapishwaamesemabiasharayakufanyakazikwamazoeahainanafasinamaemtakakilamtumishikubadilikanakufanyakazikwakujitumailikupatamatokeatarajiwa.
WaziriJafoamesema “ilituwezekufikiamalengoyetukwahatakanaufanisiwahaliyajuunaahidikutoaushirikianokwakutoshakwaManaibuWaziriwaliochaguliwanakuapishwapamojanamileohii, viongoziwenginewotewaWizara, manajimentpamojanawatumishiwote.
AkizungumzawakatiwakikaohichoNaibuWaziriwa OR- TAMISEMI Mhe. George Joseph kakundaamesema TAMISEMI niinjiniyaNchinaisipofanyavizurihakunaWizaranyingineitakayofanyavizurikwasababuunapozungumziatamisemiunagusawananchinamengineyoteyanayofanyikakatikaWizaranyinginenikwaajiliyawananchihawawa TAMISEMI hivyonilazimatuwekemazingira bora narafikiilihudumahizoziwafikiezikiwanauborawahaliyajuu.
“Wizarahiinimuhimusanakatikakusukumambelegurudumu la maendeleokwasababuwatekelezajiwamiradimbalimbaliwakokatikamamlakayaserikalizaMitaahivyotukifanyakazikwabidiinauaminifuhakikamafanikoyatakujakwaharakanahilosisindiotunalolihitajikatikaSerikaliyaawamuyaTano” alisemaMhe. Kakunda.
KatikamabadilikoyaliyofanywajuzinaMhe. RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. John Pombe Joseph MagufuliWizaraya TAMISEMI itaongozwanaManaibuWaziriwawiliambaoniMhe. George Joseph kakundanaMhe. JosephatSinkambaKandegehukuWaziriwaWizaahiiakiwaniMhe. Selemani Said Jaffo.

No comments