Vijana Watakiwa Kujiepusha na Vurugu na Uvunjifu wa Sheria Kwenye Chaguzi

Mwanasheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Selemani Mtibora akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Majadiliano kuhusu Mchakato wa Uchaguzi na Sheria za Uchaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Esther Mwanri na Mwenyekiti wa Asasi ya Tanzania Youth Vission Association (TYVA)Makwita Suleiman.




Pichana Hussein Makame-NEC
………………….
Hussein Makame-NEC
OfisiyaMsajiliwaVyamavyaSiasaimewatakavijana nchini kujiepushanavitendovyavurugunauvunjifuwaSheriazanchikatikachaguzimbalimbalikwakuwavitendohivyovinakwazaushirikiwaokatikasiasa.
HayoyamesemwanaMwakilishiwaOfisiyaMsajiliwaVyamavyaSiasa Nchini, Esther MwanrikatikamkutanowavijanawakujadilimchakatowauchaguzinaSheriazaUchaguziuliofanyikamwishonimwa wiki hii.
MkutanohuoulioandaliwanaAsasiyaVijanaya Tanzania Youth Vission Association (TYVA),ulishirikishawawakilishiwaTumeyaTaifayaUchaguzinaMsajiliwaVyamavyaSiasa nchini.
Esther alisemajamiiimekuwanamtazamousiowakubalivijanakwakiwangokikubwakutokananabaadhiyaokujihusishanavurugunauvunjifuwasheriawakatiwachaguzijamboambalolinakwazaharakatizavijanakushirikikatikasiasanauongozi.
Kutokananachangamotohiyo, Esther aliwatakavijanakuwekamikakatiyakutatuachangamotozinazowakabiliiliushirikiwaokatikachaguzimbalimbaliuwenamanufaakwao.
“Vijanawanatakiwakujiepushanavitendovyauvunjifuwasherianavurugukatikachaguzikwakuwavitendohivyovinakwazaushirikiwaokatikasiasa” alisema Esther nakufafanuakuwa:
“Vijananikundimuhimunalenyenguvukatikajamiilakinilinachangamotonyingi.Kwahiyonivizurikukaanakuwekamikakaktijinsiyakutatuachangamotohizoiliushirikiwaokatikauchaguziuwenamanufaa”
Kwa upande wake MwanasheriawaTumeyaTaifayaUchaguzi, SelemaniMtiboraalisemakilachama cha siasa kina utaratibu wake wakatiwakupendekezawagombeawanafasizawanawakewavitimaalumhivyonaTumehaiwezikuingiliautaratibuhuokatikakuteuawagombeahao.
Mtiboraalisemahayowakatiakijibuswali la mmojawavijanaaliyetakakujuakwanininafasizavitimaalumuzisitolewekwawenyemahitajimaalumkamawalemavunavijana.
Mtiboraalisemavyamavyasiasavinapendekezawagombeawanafasizavitimaalumkwakuzingatiavigezowalivyoviwekawenyewe.
“Kilachama cha siasa kina utaratibu wake katikakupendekezawagombeawavitimaalumnasiTumewalaMsajiliwaVyamavyaSiaasaanayewezakuingiliamajukumuyavyama, hivyovyamavinateuakwavigezowalivyoviweka” alisemaMtibora.
Aliongezakwakuwatakawapigakurakujitokezawakatiwakuwekawazidaftari la kudumu la wapigakurabaadayauandikishajiwapigakurailikuwawekeapingamiziwatuwanaowaonahawanasifazakuandikishwakuwawapigakura.
Post a Comment