Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:RC RUVUMA ATOA AGIZO NZITO KWA TANESCO MKOA NA WILAYA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma DKT BILINITH MAHENGE amemwagiza meneja wa shirika la umeme wilaya ya namtumbo na mkoa wa Ruvuma kuhakikisha wanapeleka huduma ya umeme katika chuo cha mifugo na kilimo MAHINYA kilichopo katika wilaya ya hiyo. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

No comments