Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:KLABU YA NDANDA KUNG’OA MABANGO YA WADHAMINI


Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya ndanda fc yenye maskani yake manispaa ya mtwara mikindani imeukana udhamini wa kampuni ya maxcom limited na kiboko ambapo awali ulitangaza kutoa udhamini kwa klabu hiyo hivyo kuleta mvutano pande mbili kati wanachama na uongozi ambpo wanachama wandai kuwa na wadhamini wanne na huku timu ikiendelea kulalama ukata wa fedha

No comments