Header Ads

Responsive Ads Here

UZINDUZI WA DUKA KUBWA KABISA LA SIMU NCHINI TECNO SMART HUB MLIMANI


WhatsApp Image 2017-10-09 at 15.40.37
Kampuni ya simu nchini TECNO imezindua duka kubwa zaidi la simu za mkononi “TECNO SMART HUB” lenye ukubwa wa mita za mraba 110, duka hilo lenye uwezo wa kuhudumia takribani wateja zaidi ya 50 kwa mara moja.

Nia ya TECNO SMART HUB hii kubwa ni kutoa huduma zote zinazohusu simu za mikononi za kisasa yaani “smart phones” ikiwemo simu zenyewe na vifaa vyake kama vile chaja, klabu za watumiaji wa TECNO, na huduma kwa wateja ya papo kwa papo.
Wakati wa uzinduzi huo, meneja wa kampuni ya simu za TECNO Bw. Daniel xu, aliongoza wateja waliofika kushuhudia uzinduzi wa SMART HUB HIYO kukagua na kujionea uzir  wa duka duka  hilo jipya huku akitoa maelezo kwa wageni walioalikwa kazi mbalimbali  za vitengo vilivyomo katika duka hilo, TECNO imezindua duka hili maalumu ili kuwapa wateja wake huduma bora na za kisasa Zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa biashara za simu za mkononi nchini.
GV1A0341
(Menea Daniel Xu akizindua na kuwakaribisha wadau wa TECNO)
Aidha wateja pamoja na wageni waalikwa wali furahia kuhudhulia uzinduzi huo baada ya kupata elimu ya jinsi ya kutunza simu za kisasa “smart phones” vizurihasa kwa watumiaji wapya wa simu hizo. Lakini kwa sasa TECNO wameweza kuweka mafundi wao kwenye TECNO SMART HUB hiyo kubwa, ambapo pia wanatoa huduma za ushauri pamoja na kutengeneza simu kwa ustadi wa juu kabisa  endapo simu ya mteja itakua  na tatizo lolote.
Uzinduzi wa TECNO SMART HUB, uliendana sambasamba na burudani za aina mbalimbali ikiwemo muziki na vinywaji vilivyotolewa bure kwa wateja wa TECNO waliofika katika eneo la tukio.
Kampuni ya simu za TECNO, ndio kampuni inayo ongoza kwa kutoa simu za kisasa zenye ubora wa hali ya juu pamoja na huduma bora zaidi, kuliko kampuni yoyote nchini. Na kupitia duka lao hilo utafurahia ulimwengu wa simu bora za kisasa uliojaa huduma bora za kujali wateja.
Mwonekano Smart hub:
WhatsApp Image 2017-10-09 at 15.40.37
          (Muonekano wa duka jipya la TECNO SMART HUB lililopo Mlimani City)
WhatsApp Image 2017-10-09 at 15.40.56
                   (Eneo la mapumziko na vipuli/accessories za simu)
WhatsApp Image 2017-10-09 at 15.41.55
(Wateja wakipata maelezo juu ya bidhaa mpya ya SPARK katika duka la TECNO SMART HUB)
WhatsApp Image 2017-10-09 at 15.42.07
 (Mteja akipata maelekezo na ufumbuzi kutoka kwa mtoa huduma wa TECNO)
WhatsApp Image 2017-10-09 at 15.42.19
                             (Sehemu ya duka, neo la display za simu)
WhatsApp Image 2017-10-09 at 15.43.57
                             Sehemeu ya wateja kupumzika wakusubiri huduma


No comments