Header Ads

Responsive Ads Here

UKOSEFU WA WALIMU WA SAYANSI WAPELEKEA WANAFUNZI KUKIMBILIA MASOMO YA SANAA


Wanafunzi wa kidato cha nne  Shule ya Sekondari Senga  wakiwa kwenye mahafari shuleni hapo.


Mkuu wa wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi  ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafari hayo akiongozana na mwalimu Mkuu wa  shule ya Sekondari ya Senga wakati wa ukaguzi wa  ujenzi wa Mahabara shuleni hapo.

Mkuu wa wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi akikagua ujenzi wa vyoo.


Mkuu wa wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi pamoja na Mkuu wa shule ya Senga ,wakielekea kwenye madarasa ambayo yametengwa kwaajili ya wanafunzi kulala shuleni hapo.

Mkuu wa wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi akikagua sehemu ya wanafunzi ambayo wanalala.

Eneo ambalo wanafunzi wamekuwa wakitumia kulala ambao ni wavulana.

Mkuu wa wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi akiwa kwenye chumba ambacho kinatumika kama mahabara na hapa anaelezewa na mwanafunzi namna ambavyo mapigo ya moyo yanafanya kazi mwilini.


Mwalimu wa shule ya sekondari ya Senga  Mwl,Magoma Komesi Magero akiwatambulisha baadhi ya wageni waalikwa.


Walimu wa shule ya Sekondari ya Senga wakijitambulisha mbele ya Mgeni rasmi.

Wazazi wakiwa kwenye mahafari.No comments